Bashe | Thursday, January 11, 2001 - 02:05 am hullo brothee na sistee, hamjambo nyote, najaribu kutu leteya namna ambayo tuna weza ku communicate hapa australia na ma sijuwi wenzangu ili to juwane wanaume na wanawake hapa australia na tufanye sort of a way of introducing wavijana wetu na waschana inshaallah. Nategemeya hi idea ita work tukiji taidi komana walendo wame jaa ma too much know hapa na sisi tuna ka kimya. unite sijuwis!!! if u have any thing to say please let me know. bye bye bros and sisters salaamzangu to u all. |