[quote="COOL-MAN"]
@ gacan baan kuutagey

imagine lord alikuwa class mate wangu?? siku hizi yeye husema "waraa adigu reeer xamarawiyaa noqotay"
kusema kweli nilikuwa nachewa nawe dada, kisomali chako sanifu wallah. kama hungewambia hawa walendo umetoka tanzania, wange kubali wewe ni mmja wao. kuwasababu somali yako ni upto date. waswahili husema maji yaliyo muwagika haya zoleki

[/quote]
*
Bro, usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa, mie sina lolote wala chochote.
Walahi unasema ukeli, maafrikani wenzetu wakituona tunaongea kisomali mbili tatu wanatusema na kutusengenya, kwahiyo sikuhizi siongei kisomali mbele yao. nakuwa huku sipo na kule sipo nimebaki katikati(Nimeachwa kwenye mataa nashangaa shangaa) lool
Kusema ukweli wewe ni kiboko yetu.