[quote="B-MAX"]Wazënji
Maria i was just teasing you walaaley.
Basi usishangae shangae dada utapitwa na mengi sio!
Kijilugha hicho niki Island nini? I mean hiyo E ambayo ina vitone viwili juu.[/quote]
Mbona nimeshangaa....
Hapana sio ki Island, lakini wenyewe wana kitone kimoja juu (')na hii pia wanatumia (æ)