

Moderators: Moderators, Junior Moderators
military-mind wrote:
Keyse_0208 wrote:Fam,why u keepposting this LIDL food for..![]()
![]()
Yanakufuatafuata kwa sababu umefikia wakati wa kufunga ndoa...., ndoa ni silaha dadaanguBlackVelvet wrote:Haya mazumgumzo ya ndoa yananifuata kilamahali kweli hii si kawaidaLabda nina ugonjwa ya kichwa
![]()
Lakini kwa kweli mimi siko tayari wakati huu kujivuruga na hivyo mambo. Miaka kumi na tano from today maybe (istaqfurullah, hiyo ikitokea itanibiidi kuenda fertility clinic) Wewe jee una mume ama I should point out nikiona mvulana mwenye sura nzuri na pesa nyingi?
Yanakufuatafuata because you have reached the time of marriage is getting married ...., weapons dadaangu
I have sinned find, if you see him please tell me ... but I want to be rich .... I would kuimbia "partner or loved one ... not nakupendaaaa pesaaaaa 'as Karoli Support
Translation....(these conversations) follow you around and around because you have reached the time to get married, marriage is a protection sister.Yanakufuatafuata kwa sababu umefikia wakati wa kufunga ndoa...., ndoa ni silaha dadaangu
Nimekosa kumpata, ukimwona niambie tafadhali...lakini sitaki mtajiri....Ningependa kuimbia "Mpenzi nakupendaaaa...mpenzi wala sio pesaaaaa' kama Saidia Karoli