Page 1 of 2
Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 9:22 am
by AbdiWahab252
For all the Swahili Music fans. List your favorite Swahili songs here. In remembrance of my Abti Shidow:
** Dang, she can really move

Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 9:26 am
by Leila2007
Abdi
Sasa. What happened to abti shidow?
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 9:27 am
by AbdiWahab252
Leila,
Ame potea. Nina fikiri ame rudi kwa Kenya. vipi dada ? mambo ?
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 9:35 am
by Leila2007
Niko sawa walaal .Maisha kama kawaida!
Vipi habari ya kuwa na cheo nauna una adui wengi
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 9:53 am
by AbdiWahab252
Leila,
Maisha ni mzuri sana. Ni nayo afya zangu, alhamdulillah. Hawa watu wame kasirika sana, shauri yawo.
Sasa ume owa ? Dada, wakati ina tembea, owa dada

Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:00 am
by Leila2007
LOOOOOOOL
Na mambo ya kuoa imetoka wapi dee
Kweli wakati unakimbia!
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:05 am
by AbdiWahab252
Leila,
Mimi, kimbia ? Hapana. Kama una taka twende miskitini kesho. Nita panda ndege leo usiku

Nipe simu za wali wako.
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:09 am
by Leila2007
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:16 am
by AbdiWahab252
Leila,
Sawa sawa. Ni nayo ndugu wengi hapo.
Sasa nita piga simu kwa wazazi wako, nipe simu zawo.
Nime shanga sana huja pata bwana mzuri, wewe ni mischana mzuri: ume soma, unayo kazi nzuri, tabia nzuri, etc.
Bahati yangu ni kubwa sana.
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:23 am
by Leila2007
Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:25 am
by AbdiWahab252
Leila2007,
Sawa. Pesa siyo kitu nina ogopa.

Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:29 am
by Leila2007
Abdi
American faraax na anapesa pia that is a sealed deal

Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:29 am
by Leila2007
Abdi
American faraax na anapesa pia that is a sealed deal

Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:32 am
by AbdiWahab252
Mabruuk !
Tuta onana T3 !

+ :somaliland: = :love:

Re: Swahili Songs Index Thread
Posted: Mon Mar 31, 2008 10:39 am
by Leila2007
Abdi
what is T3?
Sasa itabidi tualike S/netter sio?