Page 1 of 2
Patriot Njo Hapa
Posted: Thu Aug 07, 2008 10:09 am
by AbdiWahab252
Kaka,
Siku hizi ume anza ku tukana kabila yangu ? Kwa sababu ?
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Thu Aug 07, 2008 10:13 am
by The_Patriot
AbdiWahab252 wrote:Kaka,
Siku hizi ume anza ku tukana kabila yangu ? Kwa sababu ?
kwasababu nimechukia wao na Ogaden hawana faida.
a lot of back stubbers
mimi sasa nataka kufungua chama changu.
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Thu Aug 07, 2008 10:16 am
by AbdiWahab252
PAtriot,
Chama Cha Wajinga ?
Ndugu use sahwu kitu moja. kama kabila ni kubwa sana uta pata pumbavu wengi.
Sasa nipe mambo wa Kenya ? Nime sahwu jina za huyu MP kutoka Gariisa, Farah .... ? Huyu mzee ni mtu mzuri sana ana penda hali za wa Somali na Somalia.
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Thu Aug 07, 2008 4:08 pm
by The_Patriot
AbdiWahab252 wrote:PAtriot,
Chama Cha Wajinga ?
Ndugu use sahwu kitu moja. kama kabila ni kubwa sana uta pata pumbavu wengi.
Sasa nipe mambo wa Kenya ? Nime sahwu jina za huyu MP kutoka Gariisa, Farah .... ? Huyu mzee ni mtu mzuri sana ana penda hali za wa Somali na Somalia.
warya
chama changu ni cha wanasiasa na wenye hekima.
sasa sikuhizi mimi nimechoka na ukabila.
nilikuwa nataka kuenda likizo kenya lakini sina wakati.
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Thu Aug 07, 2008 4:12 pm
by AbdiWahab252
Patriot,

Beii za ticket ime kuwa ghali sana.

Ume pata mke ? Ama bado ?
Mimi sina bahati nzuri kwa wanawake. Nita omba Mungu ani tumea mischana nzuri.
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Thu Aug 07, 2008 4:15 pm
by The_Patriot
AbdiWahab252 wrote:Patriot,

Beii za ticket ime kuwa ghali sana.

Ume pata mke ? Ama bado ?
Mimi sina bahati nzuri kwa wanawake. Nita omba Mungu ani tumea mischana nzuri.
natafuta internship.
kuo nita oa inshaalah sina mbio.
unaoa mke mjo hana mengi yacni hana makelele

Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Thu Aug 07, 2008 4:21 pm
by AbdiWahab252
Patriot,
ku pata hawa ni ngumu sana. Lakini ku pata mke nzuri ni bahati.
Huja maliza shule ?
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 1:21 pm
by The_Patriot
AbdiWahab252 wrote:Patriot,
ku pata hawa ni ngumu sana. Lakini ku pata mke nzuri ni bahati.
Huja maliza shule ?
Bado mjomba unajua nilirudia hivi karibuni bada ya mda mrefu
lakini si gumbaru
anyway hapa kwetu wanawake wamejaa kama inzi za isli
lakini wachache wanafaida

Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 1:23 pm
by AbdiWahab252
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 1:26 pm
by The_Patriot
warya ukitaka ogaden enda san diego
ukitaka mke wakumchapa enda london
A/w ulimaliza uni? course gani ulifanya?
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 2:02 pm
by AbdiWahab252
Patriot,
Nime maliza uni zamani, (maka kumi). Nime soma Biashara. Wewe una soma nini ?
San Diego ni sehmu mzuri sana. Nime ona wanawake mrefu sana hapo, nina fikiri ni OG. Wanawake OG ni maskini sana. Kaka wangu anayo bibi Maxmud Zubeyr.
Wanawake wa London ni wazimu. Si amiini wanawake wote kutoka London.
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 2:09 pm
by The_Patriot
AbdiWahab252 wrote:Patriot,
Nime maliza uni zamani, (maka kumi). Nime soma Biashara. Wewe una soma nini ?
San Diego ni sehmu mzuri sana. Nime ona wanawake mrefu sana hapo, nina fikiri ni OG. Wanawake OG ni maskini sana. Kaka wangu anayo bibi Maxmud Zubeyr.
Wanawake wa London ni wazimu. Si amiini wanawake wote kutoka London.
Mimi na soma Biashara pia.
San diego wamejaa MZ from Qabridahar
walienda uko in the late 70's and early 80's
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 2:11 pm
by AbdiWahab252
Patriot,
Qabrihari ni sehmu watu wangu wame iishi maka mengi. Nina taka ku enda hapo.
Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 2:14 pm
by The_Patriot
AbdiWahab252 wrote:Patriot,
Qabrihari ni sehmu watu wangu wame iishi maka mengi. Nina taka ku enda hapo.
warya muqdihso itakuwa Janaa
Ukienda huko utaenda mising

Re: Patriot Njo Hapa
Posted: Fri Aug 08, 2008 3:11 pm
by AbdiWahab252
Patriot,
Si ogopi ku enda Qabridhare kwa sabubu ni mji wangu (looooooooooooool)