Mbona mmelala?
Moderators: Moderators, Junior Moderators, Islam mods
- maria from west side
- SomaliNet Heavyweight
- Posts: 4694
- Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
- Location: Iceland
- Contact:
Mbona mmelala?
Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe.... 

- nomadicwarlord
- SomaliNet Super
- Posts: 5946
- Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
- Location: Ayaan Hirsi's guest room
Re: Mbona mmelala?
Waache walale hawo. Wakenya ni washoga.maria from west side wrote:Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe....

-
- SomaliNet Super
- Posts: 20702
- Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am
Re: Mbona mmelala?
Nani kashinda ndovu Kuhara ?nomadicwarlord wrote:Waache walale hawo. Wakenya ni washoga.maria from west side wrote:Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe....

Twajua nani Bingwa wa ushoga kikombe mara kwa mara huchukuliwa na wa Bongo ma bingwa ya ushoga

- nomadicwarlord
- SomaliNet Super
- Posts: 5946
- Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
- Location: Ayaan Hirsi's guest room
Re: Mbona mmelala?
The_Patriot wrote:Nani kashinda ndovu Kuhara ?nomadicwarlord wrote:Waache walale hawo. Wakenya ni washoga.maria from west side wrote:Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Twajua nani Bingwa wa ushoga kikombe mara kwa mara huchukuliwa na wa Bongo ma bingwa ya ushoga![]()
![]()

-
- SomaliNet Super
- Posts: 20702
- Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am
Re: Mbona mmelala?
kusemakweli nadhani wajua kwa sasa kuwa wabongo hawana haja ku a prove yani imekuwa utamaduni yao unajua one drop rule? ya waswahili?

- maria from west side
- SomaliNet Heavyweight
- Posts: 4694
- Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
- Location: Iceland
- Contact:
Re: Mbona mmelala?
U 2 need to get leid
...
Acheni na habari za ushoga, ur starting to sound more like mashoga mawili, arguing about their lover.

Acheni na habari za ushoga, ur starting to sound more like mashoga mawili, arguing about their lover.
- nomadicwarlord
- SomaliNet Super
- Posts: 5946
- Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
- Location: Ayaan Hirsi's guest room
Re: Mbona mmelala?
The_Patriot wrote:kusemakweli nadhani wajua kwa sasa kuwa wabongo hawana haja ku a prove yani imekuwa utamaduni yao unajua one drop rule? ya waswahili?![]()
![]()
![]()
![]()

Maria from west side - Tuko pamoja, au sio?
- maria from west side
- SomaliNet Heavyweight
- Posts: 4694
- Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
- Location: Iceland
- Contact:
Re: Mbona mmelala?
Normadicwarload... It depend on what u mean.
The patriot, Kiswahili chako ninanichengua, alafu unapochanganya na kingereza ndio unazidisha kabisaaa, manake unaniacha kwenye mataa, macho juu juu.
Miaka ya zamani wabongo ndio walikuwa wamelala, lakini kwa hivi sasa wakenya ndio wamelala. Mimi naongelea kimaendeleo, habari ya ushoga tuweke pembeni.
Ukiangalia kitabia baina ya masijui wa Kenya na wa Tz ni tofauti kabisa, sijawahi kuona watu bahili na roho stoki kama wa Kenya, Walendo walio pitia nchi zote mbili wanatufahamu vizuri, wanajua kutuchambua kwa uzuri wetu na ubaya wetu. Hands up!

The patriot, Kiswahili chako ninanichengua, alafu unapochanganya na kingereza ndio unazidisha kabisaaa, manake unaniacha kwenye mataa, macho juu juu.

Miaka ya zamani wabongo ndio walikuwa wamelala, lakini kwa hivi sasa wakenya ndio wamelala. Mimi naongelea kimaendeleo, habari ya ushoga tuweke pembeni.
Ukiangalia kitabia baina ya masijui wa Kenya na wa Tz ni tofauti kabisa, sijawahi kuona watu bahili na roho stoki kama wa Kenya, Walendo walio pitia nchi zote mbili wanatufahamu vizuri, wanajua kutuchambua kwa uzuri wetu na ubaya wetu. Hands up!
-
- SomaliNet Super
- Posts: 20702
- Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am
Re: Mbona mmelala?
Unanitoa rangimaria from west side wrote:Normadicwarload... It depend on what u mean.![]()
The patriot, Kiswahili chako ninanichengua, alafu unapochanganya na kingereza ndio unazidisha kabisaaa, manake unaniacha kwenye mataa, macho juu juu.![]()

- nomadicwarlord
- SomaliNet Super
- Posts: 5946
- Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
- Location: Ayaan Hirsi's guest room
Re: Mbona mmelala?
maria from west side wrote:Normadicwarload... It depend on what u mean.![]()
The patriot, Kiswahili chako ninanichengua, alafu unapochanganya na kingereza ndio unazidisha kabisaaa, manake unaniacha kwenye mataa, macho juu juu.![]()
Miaka ya zamani wabongo ndio walikuwa wamelala, lakini kwa hivi sasa wakenya ndio wamelala. Mimi naongelea kimaendeleo, habari ya ushoga tuweke pembeni.
Ukiangalia kitabia baina ya masijui wa Kenya na wa Tz ni tofauti kabisa, sijawahi kuona watu bahili na roho stoki kama wa Kenya, Walendo walio pitia nchi zote mbili wanatufahamu vizuri, wanajua kutuchambua kwa uzuri wetu na ubaya wetu. Hands up!
Maria - Hiyo ina maana moja.

Patriot- ulipitia Mombasa ama?

- maria from west side
- SomaliNet Heavyweight
- Posts: 4694
- Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
- Location: Iceland
- Contact:
Re: Mbona mmelala?
Patriot... Wala usijali, mie nilikuwa natingisha kibiriti tu, sikuumbui wala sina maana mbaya.
Normadicwarlord....Uwe makini ukirudi bongo, manake watu wana tabia wa kupakazia kichizi, ukichanganya kiswahili na kingereza wanamtindo wa kusema kuwa unajitia mzungu.
Normadicwarlord....Uwe makini ukirudi bongo, manake watu wana tabia wa kupakazia kichizi, ukichanganya kiswahili na kingereza wanamtindo wa kusema kuwa unajitia mzungu.
-
- SomaliNet Super
- Posts: 20702
- Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am
Re: Mbona mmelala?
maria from west side wrote:Patriot... Wala usijali, mie nilikuwa natingisha kibiriti tu, sikuumbui wala sina maana mbaya.
Normadicwarlord....Uwe makini ukirudi bongo, manake watu wana tabia wa kupakazia kichizi, ukichanganya kiswahili na kingereza wanamtindo wa kusema kuwa unajitia mzungu.

Ok nilidhani nimekuwa minority

Lakini inaonekana kweli MWS ndiye mtaalam wa lugha ya kiswahili, kweli umekitukuza.
MWS utani wako umefika next level...mimi kuwandika kisomali ndiyo imenichanganya imearibu jinsi ya kutunga sentensi

Wajuwa hawa walendo lazima tuwa onyeshe kuwa twaweza kusakata mpira

- nomadicwarlord
- SomaliNet Super
- Posts: 5946
- Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
- Location: Ayaan Hirsi's guest room
Re: Mbona mmelala?
Maria - Nikirudi Bongo sitaongei,sijali wakiniambia mambo hayo. Wademu wanaocheza na Taarabu wananisubiri. Kiswahili chako ni sanifu.
Patriot - Walendo walikuvugurisha kiswahili chako achana nao
j/k.

Patriot - Walendo walikuvugurisha kiswahili chako achana nao

- maria from west side
- SomaliNet Heavyweight
- Posts: 4694
- Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
- Location: Iceland
- Contact:
Re: Mbona mmelala?
Patriot.... lol, Kusema kweli hata mie kisomali kukiandika kinanipiga chenga, usiwajali walendo, hatuwezi kujifunza kitu bila ya kukosolewa, ingawa wenyewe wana madharau kupita kiasi. Keep up the good work!
Normadic.... Usiniambie kumbe mwenzangu una plani ya kuakti bubu
...

Normadic.... Usiniambie kumbe mwenzangu una plani ya kuakti bubu

Re: Mbona mmelala?
maria from west side wrote:Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe....

-
- Similar Topics
- Replies
- Views
- Last post
-
- 1 Replies
- 9865 Views
-
Last post by Happy Desperado