sijuis where art thou
Posted: Thu Jan 19, 2012 1:20 pm
Hi, here is for a good laugh, after public smoking was banned in kenya , each town clerk was assigned the duty of posting notices in kiswahili to that effect. See how different councils posted this advert: other councils are still working on theirs.......
The coast town clerk wrote: uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.watakaopatikana wakikiuka amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.
The kiambu town clerk: wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.
The machakos town clerk: wavulutanji tusikala wasunge sana. Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya masaku itawasukulia atua kuvwa sana.
The kisumu town clerk: atenson plis!!! mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa ibiro yie kodiaga! apana furuta plis!!
wajir town clerk: habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuku na sisi tagaamata mutu bhahala yaghe kiburuta.
Kericho town clerk: gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! charipu wee taona!!!