


Moderators: Moderators, Junior Moderators
Basra- wrote:Hakuna Matata---it means no worry---!!! Lugha ya Kiswahili ni lugha mbaya sana. Mimi sitaki kuongea Kiswahili --kwasababu ni lugha ya Mashoga!
Wewe wadanganya. Kilahaja cha kiugunja ni mojawepo tu ya lahaja nyingi. Kile kilichofanya kilahaja cha ugunja kikawa rasmi ni kuwa wamishonari wa kijerumani walikitumia na kilahaja cha kimvita kilikuwa kigumu.gedo_gurl wrote:Kwa nini ulipost wimbo wa wakenya tu? Nyumbani ya Kiswahili ni Utanzania, haswa Unguja.
Kwanini Basra wapenda matusi? Kwani mashoga walifikaje Pwani, si ni kwa sababu ya waarabu? Utakata kukijua kiarabu basi?Basra- wrote:Hakuna Matata---it means no worry---!!! Lugha ya Kiswahili ni lugha mbaya sana. Mimi sitaki kuongea Kiswahili --kwasababu ni lugha ya Mashoga!
Swahili is pretty simple. Just know that it abhors hanging consonant. For this reason, you'll find very few syllables with four letters, a few with three letters., and majority with two letters, few with one letter. You can learn to read swahili within one week;Adali wrote:Uga buga uba buga uga buga ?